Fursa za Kibiashara kwa walioko Nje ya tanzania

Fursa za Kibiashara kwa walioko Nje ya tanzania

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
432
Reaction score
703
Ndugu wana JF,

Mimi ni mtanzania ninaye tafuta fursa za kibiashara nje ya Tanzania.. Hususani nchi ya zilizoko ndani ya africa..

Tafadhali. Kama wewe unauzoefu wa biasha nje ya tanzania eidha ni mloezi nchi flani ya Africa. Tafadhali naomba unipe wazo la biashara uko na uniambie nijipange na mtaji wa bei gani na nianzie wapi..

Actually nina mtaji flani wakuanzia ila kama nitapata wazo zuri ninapakujazia mtaji ili nijilipue..

Asanteni naomba ushari wenu.
 
Back
Top Bottom