xtaper JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 3,319 Reaction score 4,701 May 16, 2017 #1 Wanajf ningependa tu tupie hapa ni fursa gan ya kibiashara au kiujasiriamali ambayo ina soko katika kipindi hiki cha Rais Magufuli. Lengo ni kushirikishana na kupeana ushauri. Nawasilisha.
Wanajf ningependa tu tupie hapa ni fursa gan ya kibiashara au kiujasiriamali ambayo ina soko katika kipindi hiki cha Rais Magufuli. Lengo ni kushirikishana na kupeana ushauri. Nawasilisha.
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,134 Reaction score 7,338 May 16, 2017 #2 1st to reply,,,, tafuta mahind ndio pekee lazima upige hela