Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ArushaWewe upo mwanza sehemu gani
Poa mkuu nilijua mwanzaArusha
PoaPoa mkuu nilijua mwanza
Aha ha ngoja nikucheke kwanza. Unachotafuta ni kukosana na huyo shemeji yako hakuna lingine.Ni kweli mkuu,changamoto niliyonayo ni nafasi ila kuna kijana naweza kumtumia ambaye ni shemeji yangu,naweza kumpatia lak 5 kwa majaribio kwanza.
Nipe ABC mkuuAha ha ngoja nikucheke kwanza. Unachotafuta ni kukosana na huyo shemeji yako hakuna lingine.
Inaonekana wewe ni beginner kwelikweli.
Biashara changa hazifanywi ivo.
Umemwelewq kama nlivomwelew. Ni wazi kabxa huyu hajawahi kufanya biashara aseee....Aha ha ngoja nikucheke kwanza. Unachotafuta ni kukosana na huyo shemeji yako hakuna lingine.
Inaonekana wewe ni beginner kwelikweli.
Biashara changa hazifanywi ivo.
Yap nipo mwanzaMkuu upo Mwanza? ntaku PM ndugu.
Biashara changa simamia mwenyewe pia uwe karibu nayo, kama inafanyika kwa masaa 12 na ukaweka msimamizi jitahidi japo Massa 7 uwepo around kama huwezi kaa full time.Nipe ABC mkuu
Ushauri mzuri thxBiashara changa simamia mwenyewe pia uwe karibu nayo, kama inafanyika kwa masaa 12 na ukaweka msimamizi jitahidi japo Massa 7 uwepo around kama huwezi kaa full time.
Sasa wewe uko arusha biashara mwanza mtaji 500k mhii unaweza kuona hailipi au haikupi faida kumbe msimamizi wala haimuuzi kichwa na wala hahangaiki nayo.
Kwa dunia ya Leo hakuna kiumbe yuko tayari kutokwa jasho kwa kazi ya MTU in short anzisha hukohuko uliko kama huwezi hamia mwanza. Tofauti na hapo jiandae kukatishwa tamaa au utamwona shemeji hafai.
Japo wasimazi waaminifu wapo ila ni wachache saaana ni sawa na hamna tu.