Mkuu, kama hawa wanaotoa scholarship wangejua, wasingewapa wabongo rungu namna hiyo, walitakiwa tuwatumie wao kwenye embassy yao, hapo walipowapa wabongo washike rungu, watatangaza tu lakini wameshauza hizo scholarship kwa watu, au wameshawapa ndugu zao. So hamna hata haja ya kuapply.
Jamani, sisi ni watz tunajuana sisi kwa sisi, hivi kuna kitu hapo? Nichukue form nimpe mbongo aangalie halafu aruhusu nipewe schoalrship? Kama haijakaa kwenye junk box hiyo akapewa ndugu yake.
Nafikiri kama kuna wa kumwandikia email, hakina unatakiwa kuandika kuwa hizo nchi zinazotoa scholarship hazitakiwi kuwapa rungu wabongo. Si haki, si waone wenzao wa Netherland na Scandinavian countries, hawahitaji kupitia kwenye selikali kwasababu wanazijua selikali zetu, ni za kindugu na wivu kibao,