Fursa za mikopo, wakopeshaji na wakopaji tukutane.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Wanabodi,

Sina haja ya kuelezea faida na changamoto za mikopo, wakopaji wanazo faida na changamoto za marejesho, wakopeshaji nao wanazo faida na changamoto za kukusanya marejesho. Lengo la ukurasa huu ni kupeana fursa za mikopo, elimu ya mikopo na changamoto zake. Wakopeshaji karibuni mtupatie fursa na mashariti yenu, pia kwa wanaojua mikopo ilipo na mashariti yao nao watusaidie ili wakopaji wafaidike, wakopaji nao waseme chanagamoto zao.

Mimi kama mtaalamu nitafanya kazi tu ya uchambuzi wa hiyo mikopo na kuwashauri wakopaji, pia wakopaji wenye changamoto za marejesho nao nitawapa ushauri, wakopeshaji nao nitawashauri changamoto za ukusanyaji marejesho.

Karibuni sana.
 
kwa nini riba ya mabenk iko tofauti kati yao? mf. nmb 18%,tpb 22-17% access zaidi ya 22%

tena ndani ya nchi moja?

Kwanini
 
Tupo pamoja mkuu akikujibu ni tag mkuu
 
kwa nini riba ya mabenk iko tofauti kati yao? mf. nmb 18%,tpb 22-17% access zaidi ya 22%

tena ndani ya nchi moja?

Kwanini
utofauti wa riba unatokana na sababu nyingi, kila bank ina gharama tofauti za uendeshaji, ina gharama tofauti za mtaji wake maana hizi bank nazo kuna wakati zinakopa toka kwa wawekezaji, pia kila bank ina mazingira yake tofauti, mfano bei ya bia mtaani ni 2,500 lakini movenpic unauziwa 10,000 maana yake unalipiwa hewa, mazingira na hata urembo wa wahudumu wanaokuhudumia. Nadhani umenipata mkuu.
 
bia 2500 ni matumizi...lakini bia hiyox2 kwa 10,000 ni anasa

mabenki ya kiislam huwa hayana riba...je? asiyekuwa dini hiyo anaruhusiwa kukopa huko?
 
Mimi nahitaji mkopo nataka kufungua Mashine ya umeme ya kusaga na kukoboa.Nipo kijijin huku mkoani Shinyanga.Naomba anaejua wa kunisaidia hili aniunganishe nao tafadhal
 
Hello,
Karibu SUPERLIFE,kampuni inashughulika na usambazaji wa product inayoitwa STC30(Stem Cell) ambayo imetengenezwa kutokana na mimea kwa kutumia tekinolojia ya Phytocelltech kutoka kampuni ya MIBELLE BIOCHEMISTRY ya Uswisi.

Kazi kubwa ya hii product(STC30) ni kutengeneza seli mbalimbali mwilini hasa katika sehem ambako seli zimekufa,seli pungufu au zimeharibika(damaged cells).Stem cell imeonyesha matokeo makubwa sana kwa watu wenye matatzo ya Kisukar(Diabetic),Presha,Cancer,Vidonda sugu,Uti wa mgongo,Macho ,Moyo,viungo mwilini(joints) nk.STC30 ina karibu asilimia 100 pure stem cell,hivyo mtumiaji anashauriwa kutumia sachet moja kwa siku kwani ina nguvu sana ukilinganisha na stem cell zingne.Website ya kampuni ni www.superlifeworld.com

NAMNA YA KUPATA PRODUCT:

Unatakiwa ujiunge kupitia link au namba zilizo onyeshwa hapo chini kwa kuchagua kifurushi kati ya hivi:
1.STARTER bei shs 146,000/= unapewa product 1

2.STAR bei shs 257,500/= unapewa product 2

3.PREMIUM bei shs 1,000,000/= unapewa product 8 na

4.SUPER bei shs 2,485,000/=unapewa product 20.

MAMBO MENGINE MAZURI YA KAMPUNI:

1.Ukimshirikisha mtu mwingine ajiunge ,kampuni inakupa hapo hapo asante ya asilimia kati ya 25-35 kutegemea na aina ya kifurushi alichojiunga member mpya.

2.Kampuni inakuondolea gharama za shipping (10%) endapo utaamua ku -upgrade au kununua kifurush kikubwa zaidi.

3.Ukijiunga unapata product zako hapo hapo hakuna kusubir zitumwe toka nje.Kwa mikoani,kila mkoa utakuwa na ofisi.

4.Gharama ya kujiunga ni ndogo: Unalipa shs 146,000/= unakuwa member na unapewa product 1 ambapo sasa utakuwa unanunua products kwa bei ya chini kati ya dola 30-40 kutegemea na idadi utakayo nunua.

5.Car Plan:Kampuni pia imeamua kutoa awards magari 200 kwa afrika kwa watu 200 ndani ya siku 200 kuanzia 1st Oct 2017.

NB:Inashauriwa utumie product wew kwanza ili uwe shuhuda mzuri kwa wengne.

Kama una ndugu au rafiki ana matatzo kati ya hayo magonjwa,naomba nione inbox nikupe maelezo kwa kirefu.
 
Ungefungua thread yako maalum ingekua vizuri sana kuliko kudandia thread za wenzako na kupenyeza bidhaa yako.
Hasara yako ni kuwa wateja wako hawataona tangazo kwa kuwa lipo kwenye mikopo,kuna watu wanachukia kukopa,hawatapita hapa lakini wanataka hiyo dawa yako ya kuongeza makalio utawakosa tu
 
Mmmh! Ndo yale ya pyramid
 
Hapa ni mikopo...hizo pyramid schemes zinahusiana nini na mikopo?
 
Ok mkuu ila kwanini benki kuu imepunguza riba mara mbili ivi karibuni lakini bank za biashara azijapunguza?
kwa sasa hali ya kiuchumi imekuwa ngumu sana, biashara nyingi zinakufa kutokana na ukata wa watu hawana uwezo tena, kwa hiyo pamoja na bank kuu kupunguza riba wakopaji hakuna, kwa hivyo ili mabank kufidia gharama za uendeshaji riba inabidi ibaki kubwa maana wakopaji na watu wenye sifa ya kukopeshwa wamepungua.
 
bia 2500 ni matumizi...lakini bia hiyox2 kwa 10,000 ni anasa

mabenki ya kiislam huwa hayana riba...je? asiyekuwa dini hiyo anaruhusiwa kukopa huko?
kiukweli haya mabank ya kiisilam si kwamba hayana riba, riba ipo lakini indirectly, kwa mfano wao unawaambia nataka gari yenye sifa hizi na offer yangu ni hiii, wao wanahakikisha wanakupatia gari yenye sifa unazotaka ila wanachokifanya wananegotiate na muuzaji bei ishuke ili nao wapate kitu fulani. Haya mabenk kama wewe siyo muisilamu hukopeshwi mkuu.
 
Mimi nahitaji mkopo nataka kufungua Mashine ya umeme ya kusaga na kukoboa.Nipo kijijin huku mkoani Shinyanga.Naomba anaejua wa kunisaidia hili aniunganishe nao tafadhal
endelea kupitia huu uzi watakuja tu mkuu na shida yako itatatuliwa.
 
mkuu hapa ni huduma za mikopo na elimu juu ya mikopo tu.
 
sure
 
Ntawezaje kuwakopesha watu vijijini ambao uwezo wao wa kupata pesa ya marejesho ni mdogo?
 
Kila mtu anajua alikopata mtaji wake namaanisha kwamba huenda na wenyewe walikopa sehem ili waje watoe iyo huduma, wengine wawekezaji ni pesa zao za mfukoni, wengine hawazingatii lolote kama wamekopa au ni mtaji wanajipangia tu wanachokiangalia ni faida itakayo patikana basi.
kwa nini riba ya mabenk iko tofauti kati yao? mf. nmb 18%,tpb 22-17% access zaidi ya 22%

tena ndani ya nchi moja?

Kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…