Fursa za ujasiriamali popote ulipo sisi tupo

Fursa za ujasiriamali popote ulipo sisi tupo

Joined
Mar 31, 2013
Posts
49
Reaction score
6
coolmate group of companies (t) ltd

tunatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa nadharia na vitendo, tumebobea katika kufundisha namna ya kutengeneza batiki (vikoi), sabuni ya maji, dawa za vyoo, sabuni ya unga, kutengeneza mikate, mikate skonzi, kuengeneza jiko la kienyeji la kuoka mikate na skonzi.....

Kufundisha namna ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara zaidi, fomula ya kutengeneza chakula cha kuku.
Namna ya kuzuia kuku wasipate maradhi ya mara kwa mara.

tunapatikana jijini dar es salaam kariakoo mtaa wa mkunguni na livingstone, ulizia
coolmate group of companies (t) ltd

au piga simu namba 0782 001408 / 0753 561619 / 0718 572 422 / 0772 570 510
 
Sawa tumewapata vizuri, tuko pamoja tutawajoin any time. Ila kwa wajasiriamali wanaopenda kubadlishana mawazo kwa njia ya whatsaap group tuwasiliane 0762600100
 
Back
Top Bottom