Fursaa akuna kwa vijana tufanyeje vjana wenzangu

Fursaa akuna kwa vijana tufanyeje vjana wenzangu

Choma hata viazi barabarani, uza mihogo, karanga, matunda, nenda kajitolee popote, tz ardh kubwa omba hata kwa ndugu bush lima pamba, mahindi , nenda eneo lenye shida ya maji uza maji ya mkokoteni n.k
Anza na biashara ndogo ndogo
Kuwa mbunifu na uwr mwaminifu utapanda
 
Si wenzako tuko hapa mitaa ya Magurumbasi, si unajua huku walevi wengi wa kuwaning'iniza usiku, na huu umeme wa TANESCO ni neema tupu.
 
Choma hata viazi barabarani, uza mihogo, karanga, matunda, nenda kajitolee popote, tz ardh kubwa omba hata kwa ndugu bush lima pamba, mahindi , nenda eneo lenye shida ya maji uza maji ya mkokoteni n.k
Anza na biashara ndogo ndogo
Kuwa mbunifu na uwr mwaminifu utapanda
vp wee unauza maji katika mikokoteni
 
Back
Top Bottom