Furungu zinamuuma sana mwanangu msaada tafadhali

Furungu zinamuuma sana mwanangu msaada tafadhali

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Habari madaktari.Usiku nzima mwanangu hajalala furungu zinamuuma.Nikampaka mafuta ya mgando na kummeseji ikatulia kidogo.
 
Mapumbu?Kwani hakuna lugha ya tafsida hapa?

Kwenye fani ya utabibu kila kiungo hutajwa kama kiitwavyo...
Sasa ni wewe kuamua unataka utajiwelipi kati ya makende, korodani, furungu au mapumbu.
 
Anajminya mapumbu/kulia
Huwa yanawasha hayo endapo unamfunga ma pempers,mi nepi kibao pasipo kumpaka baby powder na kumtoa nepi akiwa kakojoa/kuna unyevunyevu wa joto. Huyo ni mtoto wako wa ngapi[kiume].Tangu uanze kuzaa
 
Uwe unampaka powder ya watoto na pia wakati wa kulala mwachie awe analala wazi ili apate hewa ya kutosha. Inawezekana joto ndo tatizo kubwa.
 
...Huwa yanawasha hayo endapo unamfunga ma pempers,mi nepi kibao pasipo kumpaka baby powder na kumtoa...

Wa kwanza mkuu
 
ushauri take the baby to see a doctor tena daktri wa watoto dont assume anumwa hiki kumbe tatizo ni lingine kabisa
 
ushauri take the baby to see a doctor tena daktari wa watoto don't assume anaumwa hiki kumbe tatizo ni lingine kabisa
 
Back
Top Bottom