Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Furungu ndo tatzo gan hilo?
Oh my God,Furungu ni MAPUMBU(Scrotum).Ana mwaka mmoja
Furungu ni nini?
Sasa umejuaje ndo zinamuuma. Alisema? Umeshampeleka hospitali?
Mapumbu?Kwani hakuna lugha ya tafsida hapa?
Mapumbu?Kwani hakuna lugha ya tafsida hapa?
Sasa umejuaje ndo zinamuuma. Alisema? Umeshampeleka hospitali?
Huwa yanawasha hayo endapo unamfunga ma pempers,mi nepi kibao pasipo kumpaka baby powder na kumtoa nepi akiwa kakojoa/kuna unyevunyevu wa joto. Huyo ni mtoto wako wa ngapi[kiume].Tangu uanze kuzaaAnajminya mapumbu/kulia