hao wamorroco ndo tunaowataka maana tumeckia nyama yao tamu kama ya simbaFus -rabat hawa ni waarabu wa morocco ni hatari sana kwa kugawa dozi.
Hatua ya 32 bora
Fus rabat 7 Sc villa(uganda) 0 goli zote zilifungwa nchini morroco
Hatua ya 16
Fus rabat 4 stade melein(mali) 0 zote zimefungwa nchini morroco
Hawa jamaa hawana huruma Yanga mjipange hasa.
Mungu awaepushe nao hatua ya makundi.
hakielewekiHujasoma kilicho andikwa?
Nimesoma vema sana, ata sisi Yanga tuliwahi kumpiga mtu goli 8-0 taifa Dar kwenye klabu bingwa na bado tulitolewa mapema, sembuse hao wala tende?Hujasoma kilicho andikwa?
Heheheh dahhao wamorroco ndo tunaowataka maana tumeckia nyama yao tamu kama ya simba