Wapendwa naomba kusaidiwa nina gari aina ya nissan vannete nahitaji kujua fuse hii ina kazi hii maana nilizoea kwenye noah ukifunua kile kifuniko cha fuse box kwa ndani kuna maelekezo ya kila fuse na kazi yake sasa kwenye hii nimechemka msaada tafadhali