Habarini wanajamvi,
Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini. Ila si mgeni ni mfuatiliaji mzuri wa Jf, nisiwachoshe na blaablaa.
Mimi nina ndoto za kumiliki Fuso dump truck na nina uwezo wa kupata mkopo wa 40m
Naombeni ushauri wenye uzoefu wa hayo magari
Nawezaje kuagiza kutoka nje na model gani ni bora, pia nakaribisha ushauri wowote.
Naomba kuwasilisha hoja