Nashukuru kwa kunipa ka mwangaMkuu hongera kwa kuwa na ndoto nzuri ila kwa hesabu naona 40m au 35m ni kodi ya dump tani 12 na kuendelea hizi tipper ndogo kodi tuu ni 25m kwa hiyo utapata kodi bado hela ya kununua hiyo tipper...
Big up kaka,Ukinunua gari ya biashara kwa pesa ya mkopo utaishia kupata maumivu ya kichwa na presha ya kupanda na kushuka.. Hiyo pesa bora ufanye biashara ingine.
Big up kaka,
Kwa mchango wako wa haraka naweza fanya biashara gani
Mimi nipo singida
jaribu mimi ni mhasibu, hizo tools ukipata unaajiri wenye fani zao tuu si lazima ukafanya kitu ambacho ni professional yako angalia fursa huku ukiwa umeajiliwa pia MkuuNimefurahi kwa mchango wako,
Ni wazo zuri sanaaa
Shida mimi ni tabibu wa binadamu!
Ila nimevutiwa na hiyo kitu
Habarini wanajamvi,
Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini. Ila si mgeni ni mfuatiliaji mzuri wa Jf, nisiwachoshe na blaablaa.
Mimi nina ndoto za kumiliki Fuso dump truck na nina uwezo wa kupata mkopo wa 40m
Naombeni ushauri wenye uzoefu wa hayo magari
Nawezaje kuagiza kutoka nje na model gani ni bora, pia nakaribisha ushauri wowote.
Naomba kuwasilisha hoja

Kaka kitukoKwa sasa Fuso nzuri yenye engine ya 16 au 17 ukiagiza kutoka Japan na ukiifikisha Tanzania na kumaliza malipo yote itakucost 70,000,000 (Milion sabini)
Hapo pia utakuwa na cost ya kubadirisha spring, road lisence, Sumatra, Vipimo nk
Changamoto kubwa ni kwenye dereva mzuri wa kukutunzia gari na pia akupe faida, lakini kurudisha hiyo Milioni sabini sio mchezo kaka, maderva wengi wanaleta 120,000.00 kama hesabu ya siku, sasa utaichanga vipi na kwa muda gani ndio irudishe 70,000,000.00 na kisha ikupe faida?
Nashukuru kwa mchanganuo mzuriKwa sasa Fuso nzuri yenye engine ya 16 au 17 ukiagiza kutoka Japan na ukiifikisha Tanzania na kumaliza malipo yote itakucost 70,000,000 (Milion sabini)
Hapo pia utakuwa na cost ya kubadirisha spring, road lisence, Sumatra, Vipimo nk
Changamoto kubwa ni kwenye dereva mzuri wa kukutunzia gari na pia akupe faida, lakini kurudisha hiyo Milioni sabini sio mchezo kaka, maderva wengi wanaleta 120,000.00 kama hesabu ya siku, sasa utaichanga vipi na kwa muda gani ndio irudishe 70,000,000.00 na kisha ikupe faida?
View attachment 384841 View attachment 384843 Tafuta hizo Lethe machine, Drill kama hiyo na Grenda kubwa makita na mashine ya kukunja bomba kubwa fungua work shop nadhani hata 16milion havizidi vyote hivyo utafanya kazi popote pale...