Fuso fighter inahitajika

ifolako

Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
98
Reaction score
0
Wadau nahitaji gari la mizigo aina ya Mitsubish Fuso fighter ya kawaida au mayai ya kununua.Kwa mwenye nalo anaweza kutuma tangazo lake humu humu janvini kwa kuweka mawasiliano yake nami nitamtwangia.
NB.Usiweke bei ya kulipua(burster price)
 
Fuso mayai ndio nini?? kama unataka mayai katafute kuku wa kienyeji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…