Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tandem ni baiskel ya kuendesha na watu wawili pia ina maana ya gurudumu mbili zinazofatana zimekaa kwa mstari hivyo wametohoa happy kwasababu fuso hizo hua na Excel mbili nyumaTandem maanake ni nini?
Na vipi kipisi kikiwa Mende Bado haisaidii?Kwa hyo kwny mzani uzito wa kipisi unapelekea kupakia mzigo kidogo ili isizid lakin tandem ni nyepese hivo unapelekea kupakia mzigo mkubwa kwa sabab kwny ikibeba mzigo wa kipisi tandem bado inakua inadai
Daah kiongozi naomba unitofautishie kwa uzito kabisa Ili tumalizane kabisaMende inapikia mzigo mkubwa kuliko tandem na kipisi kwa sabab ya ile axle inayoongezeka
Mzani wanaangalia mgawanyo wa uzito kwa kila ekseli pamoja na uzito wa jumla (gari + mzigo)yaani GVMDaah kiongozi naomba unitofautishie kwa uzito kabisa Ili tumalizane kabisa
Fuso tandem Tani ngap____?
Scania kipisi tani ngap_____?
Scania mende tani ngap____?
Nikielewa hapo mtakuwa mmenisaidia kwa kwel
Shukrani mkuu hapa nimekupataMzani wanaangalia mgawanyo wa uzito kwa kila ekseli pamoja na uzito wa jumla (gari + mzigo)yaani GVM
Fuso & scania yenye ekseli tatu
-Ekseli ya mbele ni tani 8
-Diff zote mbili ni tani 18(tani 9/diff)
-GVM tani 26
Gari yenye ekseli 4 (mende)
-Ekseli mbili za mbele ni tani 15 (yaani tani 7.5/ekseli )
-Diff zote mbili ni tani 18(tani 9/diff)
-GVM tani 33
Lakini pia swala la gari ipi inabeba zaidi hutegemeana na aina ya mzigo unaobebwa.
Nadhani chuga/Moshi...huko ndiyo watabe wa modification kama hizo mfano ukicheki zile LC za watalii.Mimi napenga iwe na chassis ndefu ila isiende juu sana ...hivi zile body zinachongeshwa wapi?
Siku hizi body zinajengwa sehemu nyingi sana! Karibu majiji yote yana watu wa kujenga body.Mimi napenga iwe na chassis ndefu ila isiende juu sana ...hivi zile body zinachongeshwa wapi?
Mwanzo tandem fuso ilikuwa Gmv imeizidi mende za scania fuso ilikuwa tan 17 na mende tana 15 lakin upepo umechange fuso nyingi ni 15-17 wakati mende zimeongezewa kibali inabeba 20 tanHabarini za za usiku wana jf
Nimekuwa nikiona watu kwenye majadiliano wanasema kwamba fuso tandem inabeba mzigo mkubwa kushinda scania kipisi hii imekaaje mbona scania kipisi ni kubwa kushinda fuso tandem
Ni criteria gani inatumika hapo
Kwa nyoongeza ni kwamba fuso zenye specifications sawa na scania fuso Ina mwendo na inabeba mzigo mkubwa kuliko scania. super great yenye double front axle ukilinganisha na scania kipisi yenye double front axle fuso inachukua point zote mwendo na uwezo wa kubeba cargoHabarini za za usiku wana jf
Nimekuwa nikiona watu kwenye majadiliano wanasema kwamba fuso tandem inabeba mzigo mkubwa kushinda scania kipisi hii imekaaje mbona scania kipisi ni kubwa kushinda fuso tandem
Ni criteria gani inatumika hapo