Car4Sale Fuso Tipa na Semi Trailer zinaizwa

Car4Sale Fuso Tipa na Semi Trailer zinaizwa

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari wakuu, Mitsubishi fuso tipa zinauzwa
#CLJ Bei 50M ipo Dar
#DHH Bei 55 ipo Morogoro

Pia SEMITRAILER horse ni 124-420 pamoja na body lake linauzwa vyote bei mil 55.

Gari zinahali nzuri na nimezikagua.

Ukitaka kuziona na kukagua na mafundi wako unakaribishwa maana zipo kazini daily, nitakukutanisha na wenyewe na ukifanikisha deal utaniachia posho.

Pia KAMA UNAHITAJI GARI KUBWA YOYOTE, TRAILER AMA MTAMBO WA UJENZI WA BARABARA USISITE KUNICHEKI kwa namba
0755963775 WhatsApp na calls.

20220307_212932.jpg


Screenshot_20220307-212659_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220307-212828_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220307-212753_WhatsApp.jpg


20220307_212904.jpg


Screenshot_20220307-212807_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220307-212807_WhatsApp.jpg
 
Horse anauzaje na trailer anauzaje? Nikivitaka separately
Mwenyewe anauza kwa pamoja. Kama unahitaji horse pekee au trailer pekee ninaweza kukutafutia kwa wengine.
Nicheki 0755963775
 
Horse pekee inauzwa.
Make: Scania
Model: 124-420
Location: Dar
Bei: 30M

Ukitaka kukagua ama gari kubwa brand yoyote, trailer ama mtambo wa ujenzi usisite kunicheki
0755963775

Screenshot_20220308-092448_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220308-092458_WhatsApp.jpg
 
Jalibu kuelezea sifa za gali ili uweze kumshawishi mteja ,yaani hiyo prado umeiyelezea kwa uchache sanaaa watu wanataka kujua mengi wengine wageni wa magali hushawishiwa na matangazo tu, sifa za ziada kama airbag.spea tail.nk
 
Jalibu kuelezea sifa za gali ili uweze kumshawishi mteja ,yaani hiyo prado umeiyelezea kwa uchache sanaaa watu wanataka kujua mengi wengine wageni wa magali hushawishiwa na matangazo tu, sifa za ziada kama airbag.spea tail.nk
Sawa sawa mkuu, kwa upande wa magari makubwa na trailer nimeeleza kwenye nyuzi nyingi humu ndani hass zinazohusu ushauri juu ya tasnia nzima ya trucking.
Sio mzoefu sana wa gari ndogo na ndio maana huwezi kukuta nimetia neno.
Ila kupitia uzi huu nitatoa elimu juu ya magari makubwa na mitambo ya ujenzi
 
Wakuu kuna gari kalii sana. Hazina shida yoyote, zipo kazini muda wote.
Kila moja horse na trailer yake ni 70M.
Gari zipo Dar, ukitaka kukagua njoo na mafundi wako kisha nicheki kwa 0755963775

Screenshot_20220308-210229_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220308-210207_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220308-210203_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220308-210210_WhatsApp.jpg


Screenshot_20220308-210233_WhatsApp.jpg
 
Karibuni sana wakuu endapo utakua ukihutaji gari kubwa/lori la mizigo kuanzia rigids/vipisi hadi semitrailers. Pia ukihitaji horse pekee ama trailer pekee usisite kunicheki kwa 0755963775.

Pia kwa ushauti kuhusu sekta ya usafirishaji kwa wale wanaoanza kabisa biashara hii karibu
 
Back
Top Bottom