Habari wakuu, nimerudi tena.
Make: Mitsubishi fuso
Body: Tipa
Engine: 6D17
Location: Dar
Bei 60M
Gari haina shida ipo kazini muda wote, haina shurba kwani inahudumia mizigo ya wateja wa hardware, ukitaka kuiona na kukagua nicheki kwa
0755973775 calls/WhatsApp