Futari ya leo

CnaJina

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
468
Reaction score
84
Muhogo wa nazi,vitumbua, chai ya kichwa, wali wa nazi, mchuzi chukuchuku,mkate wa maji, mkate wa kumimina, vibibi, uji wa pilipili, uji wa muhog, maandazi, mahamri, tambia, maharage, juis ya ukwaju,juisi ya limao, sharbati(milkshake)
Karibuni

Ramadhan Kareem
 
Reactions: Esh
mkuu naona unatupa utamu kwa maandishi. haya bwana tumepata harufu
 
Chai ya kichwa ndo ipi....naona michanganyo ni mingi
 
ungetuambia vinaandaliwaje siyo kuturingishia
 
nilizobold zote ni kitu kimoja uji wa muhongo na uji wa pilipili naona ulivimbiwa ndo ukaja kupost
red tote ni maandazi sema maamri makubwa hayana nyama ndani ni kama vile wali wa mafuta tupu na wali wa kupika na kutia karoti.
Blue lazima koo lako lilichubuka.
Njano lazima uliharisha sana.
Mwisho uliliumiza tumbo lako tu
 
amu sjui nikutafute kabla ya Ramadhan ijayo ikiwa tutafika? Maana yaonyesha uko vema sana anga hizo, na mie mahanjumati ndio ugonjwa wangu. Tehetehe, Ramadhan kareem
 
ha ha ha karibu jamani looo hapa ndo penyewe
Naona ati, sie wengine huwa tunavuta haraka haruf, zenu; wacha nisiendelee maana hili si jukwaa la wakubwa la "shule" ya upishi. Hahaha,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivyo vibibi unatengenezaj napenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…