Mohammed Said, asante kwa kutuhadithia safari zako zilizokuwa na mfungo na jinsi watu tofauti wanavyo futuru.
Nimecheka tu huko Harare, ambako na mimi nimefika, ulivyo swali Muslim Church na ulivyotaka kufuturishwa kitimoto, ha ha ha !

Pole sana, Holiday Inn nimeshakaa hapo Harare, kabla tu ya covid19.
Na it was just in time maana mke wa mweyeji wangu hapo Harare muda mfupi baadaye alipata Covid19 na kufariki.
Sad memories.
Recollections zako za U.K. ni sawa kabisa, mimi mkristo lakini nilikaa na Wanigeria wengi huko(1984 na 1986/87). Na najua Northen Nigerians have a big passion for their religion and at times very aggresive usipokubaliana nao katika maono ya kidini.