Messi Lionel
Senior Member
- Jan 11, 2018
- 170
- 159
THE PRESENT IS NOW:::
Jamaa akasema Uno..Dos..Tres..Hala Madrid¡..uwanja mzima wa Santiago Bernabeu wote ukaitikia Hala Madrid..
Uno(one),,dos(two)..tres(three)..
Cristiano Ronaldo Dos Santos Aveiro alikuwa akiwasalimia mashabiki wa Real Madrid mwaka 2009 akiwa anatoka Manchester United akihamia Los Blancos..jezi namba 9 mgongoni kwa kuwa namba 7 ilikuwa ikivaliwa na Prince Raul Gonzalez Blanco...
Katika kifilamu kidogo kinachoakisi maisha halisi ya Cristiano Ronaldo 7,yenye kuchukua takribani Saa 1 dakika 32 sekunde 38..kuna kipande kimenigusa kwa tafsiri nyingi sana hasa katika uhalisia wa maisha yetu..
Kuna wakati anasema "WHEN I SAW ANGEL DI MARIA I WAS THINKING THAT THE GAME IS OVER COZ THE FACE OF DI MARIA WAS SO DOWN..WE ARE GOING TO LOOSE THE ENCOUNTER(game)"..akimaanisha
"WAKATI AKIMUANGALIA DI MARIA ALIFIKIRI KWAMBA MECHI WALIKUWA WASHAPOTEZA,KWANI SURA YA DI MARIA ILIKUWA CHINI SANA..YANI YA KUPOTEZA MATUMAINI"..
Ilikuwa ni katika Finali ya UEFA champions League 2014 iliyopigwa Portugal uwanja wa SL Benfica...baada ya kupambana sana..Hatimaye Sergio Ramos alichomoa goli kwa kichwa akicheza kona ya Luka Modric...Ronaldo akarudi mchezoni..Dakika 30 za nyongeza Jeshi la Diego Pablo El Chollo Simeone likafa kabisa kwa Magoli ya Bale..Marcelo Vieira na CR7 mwenyewe..
Sasa baada ya kila kitu wakiwa wanatoka Ureno kuelekea Hispania Madrid kulitambulisha kombe kwa mashabiki Bernabeu ndipo Cristiano Anasema..
"THE BEST TIME TO ENJOY IS NOW,THE BEST WAY TO ENJOY THE PRESENT IS NOW,YOU CAN NOT LIVE THE FUTURE COZ YOU DON'T KNOW THE FUTURE..THE BEST PRESENT IS NOW""..
Anaongeza tena , "SOME PLAYERS ARE THINKING OF THE FUTURE..THEY BECOME AT THE AGE OF RETIRING THE GAME STILL THEY THINK ABOUT THE FUTURE..WE HAVE TO LIVE NOW COZ NOW IS WHAT WE HAVE IN OUR HANDS"..
Nabonyeza Space Button ya Desk Top ili niufikirie mstari huo nagundua..Asilimia kubwa ya sisi wanadamu wa dunia ya Afrika tunaishi mambo ya miaka 10 ijayo kwa kufikirika(Abstract Life) wakati huo hatuenjoy muda tunaokuwa nao..Unapambana sana unapata angalao sehemu ya ulichokitafuta lakini bado hutaki kuenjoy katika hiko..
CR7 anasema 'People see us with Cars and Money'..they think it's easy but we struggle..
So Struggle uwezavyo lakini hakikisha unaishi sasa kwani the Present is Now..
Unajaribu kuwaangalia players wa Nchi zetu hizi kadri muda unavyokwenda wanakwambia ndoto zao ni kucheza ulaya..wakati wanaweza kuanzia Kongo kama Mbwana..South Africa kama Banda..Morocco kama Msuva..na Baadae njia ya kwenda Nje inakuwa sio ndefu sana..
Well done Msuva..Samatta..Banda..mnajua kwamba The Present is Now..