Futbol's quickies

Said Bahanuzi aling'aa sana Kagame flani
Jerry Tegete?
'Gaucho' aliwahi ku-shine na Mtibwa
 
haha mkuu umemtaja mwape nikamkumbuka Robert Jama Mba

Hahahahah.. Nakumbuka kipindi kile yupo jangwani, hawa mwajuma ndala ndefu walikuja Songea kupambana na WANALIZOMBE... Jama mba akafunga goli rahisi sana afu alikua offside.. Lilipokataliwa alilaumu sana na kusema eti... Alifunga goli zuri pengine kuliko yote yalio fungwa katika dimba lile...
 

Nilikwepo uwanjani siku ile!!

Ndo goli peke alofunga huyo jamaa hapa Tanganyika
 
Yaya sanogo+el-hadji diouf+baloteli mutu korofi+etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…