futi 6 nawasalimu

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
futi 6 kutoka pande za a town nawapa salamu za kunipokea humu ndani .... najishugulisha na useremala na huwa napenda sana kuingia humu kuperuzi lakini leo nimeamua niwe mshiriki kwa kufungua account.... haina kwere, haina shanapa
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
futi 6 kutoka pande za a town nawapa salamu za kunipokea humu ndani .... najishugulisha na useremala na huwa napenda sana kuingia humu kuperuzi lakini leo nimeamua niwe mshiriki kwa kufungua account.... haina kwere, haina shanapa
karibia mkuu
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…