Habari wana jf.nauliza kama kuna mwenye details kuhusu walipo hawa waigizaji wa futuhi.Kafuku,Msukuma, Chiko.nilikuwa nawazimia sana kwenye vichekesho vyao.lakini kwa sasa hawaonekani tena startv.
Habari wana jf.nauliza kama kuna mwenye details kuhusu walipo hawa waigizaji wa futuhi.Kafuku,Msukuma, Chiko.nilikuwa nawazimia sana kwenye vichekesho vyao.lakini kwa sasa hawaonekani tena startv.
Hata mimi najiuliza swali hilo hilo ila siku moja nikiangalia live bunge niliona kama mmoja wao yule jaluo aliyekua anasoma ila taarifa yao ya habaari, kawa mheshimiwa mbunge! nilishangaa maana nikama alitokea kenya jana yake, kiswahili hakipandi ni english kila baada ya sentensi moja!!