Jaman kuna huu mtindo umezuka ukibonyeza *150*55# Then ok! unasubiri jibu na unakuja unacomfirm kwa pin yoyote! ukicheck balance utakuta unalaki nane! ni kwakila sim card! mimi nimezihamishia mpesa ila zimegoma! wataalam tuelewesheni!