hivi kweli kwa mtindo huu tutafika?Tanzania tuko dunia ya ngapi jamani na tunaelekea wapi. nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali ambazo zinaliwa na wanaojiita wajanja wa nchi hii kwa kufanya mikataba mibovu na wageni.kwa jina lingine tuwaite mafisadi papa mungu tusaidie ndo maana wanafunzi wanafanya mitihani yao katika mazingira magumu kiasi hiki. Tanzania bila CCM inawezekana jamani, tuungane pamoja na kumpa Dr. Slaa kura zetu tuone kama hatutabadilika. :mmph: