Future strategic investment

Future strategic investment

Joined
May 9, 2015
Posts
24
Reaction score
4
Watanzania tuinuke sasa kwa kujitafutia kipato na kuondokana na umasikini! maendeleo yatafanywa na wewe mwenyewe na sio serikari ikulete pesa nyumbani kwako hizo ni siasa tuu!!

Future strategic ni kikundi/kampuni ya vijana ambao ni commited kujishughurisha katika nyanza mbalimbali za kiuchumi ikiwemo ufugaji,kilimo,biashara na fulsa nyingine nyingi ambazo hujadiliwa kwa pamoja na kuamuliwa kwa pamoja ikiwa lengo na madhumuni ni kujikomboa kutoka katika umasikini na kuajiliwa tukilipwa kipato kidogo kisicho tosha!!

Opportunity ni nyingi lakini bila strategic investment hatutaweza fikia goals zetu, bila strategic people hatuwezi kufanikisha malengo haya, na bila strategic planning + Project management+ Monitoring & Evaluation kwa miradi inayo anzishwa, sikuzote tutakuwa niwatu wa kushindwa!

Lakini FSI imeyaona hayo na kuamua ku invite members ambao watakuwa commited kushiliki pamoja kikamilifu na kuweka michango ambayo itatumika kama mtaji mwisho wa yote pato litakapo kuwa kubwa basi litagawiwa kwa kila mwanachama bila ubaguzi wa aina yoyote kulingana na mwanchama alivyo jiwekezea!!


Kwa maelezo zaidi email gwamakamwakyambiki3@gmail.com or 0719909267 let unite, one goal one desire!!
 

Attachments

Back
Top Bottom