katika kusoma kwangu kwote nlifundishwa kuwa ZINJATHROPUS liligunduliwa mwaka 1959,..
Leo mtangazaji wa channel ten UPENDO MSUYA kasema fuvu
hili liligunduliwa mwaka 1957.....
Watu waliosoma anthropology, history, tourism, archeology nisaidieni mm ndio sijui au?
Yapo mawili kuna lililogunduliwa visiwa vya rusinga drypithecus africanus na ilo la olduvai Gorge zinjanthropus, yote mgunduzi ni Dr leakey. Mtangazaji yupo sahihi kwa mujibu wa history niliyosoma form two.
labda tuongeze swali, ina maana katika dunia hii mtu wa kwanza aliishi tz?
kwa hiyo ni fuvu la nyani sio binadamu?Binadamu wa kwanza alikuwa nyani.
kwa hiyo ni fuvu la nyani sio binadamu?