FUWAVITA: Maana na Umuhimu wa wakalimani wa lugha ya alama

FUWAVITA: Maana na Umuhimu wa wakalimani wa lugha ya alama

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
MKalimani wa lugha ya alama ni mtu aliyesomea fani ya lugha ya alama na kufaulu ukalimani. Ukalimani wa lugha ya alama ni fani kama zilivyo fani nyingine kama uhasibu au udaktari.

Kwa mujibu wa chuo kikuu cha Dar salaam mpaka mwaka 2020 kimefundisha wakalimani takribani mia moja nchini. Ajira ya mkalimani wa lugha ya alama hutegemea uhitaji wa mteja wake ambaye ni kiziwi.

Fani ya ukalimani bado ina muitikio mdogo hapa nchini kwa sababu taasisi nyingi bado hazifahamu umuhimu wa wakalimani na hazitengenezi ajira kwa ajili ya kazi hii.Pia, ukosefu wa ajira kwa viziwi unapelekea moja kwa moja ukosefu wa ajira kwa wakalimani wa lugha ya alama.

Imeandaliwa na:
Mr Idd
Mkalimani Mkuu wa FUWAVITA.
 
Iwekwe Sheria kila kituo Cha television wawe na mtaalam wa lugha ya Alama ili kuongeza wigo wa ajira.
 
Back
Top Bottom