PreGE2025 G 55 wasikilizwe na wao wawe na dhamira njema ya kutokiua chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

lahe

Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
77
Reaction score
57
Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu, Baraza kuu na Mkutano Mkuu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lakini bado hoja ya msingi watashiriki uchaguzi kwenye mazingira ya 2024. Lipi bora ushiriki ukapigwe na kuambulia mbuge mmoja au hakuna au kutoshiriki ili uponye mauaji ya wanachama kazi kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…