jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa.
Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli.
Mungu atawaumbua wote waliomnanga Magufuli na watasema yote kwa ukamilifu!!