Magufuli sio nchi, bali alikuwa kiongozi muovu. Kupendwa na baadhi yenu haamaanishi alikuwa kiongozi msafi.Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa.
Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli.
Mungu atawaumbua wote waliomnanga Magufuli na watasema yote kwa ukamilifu!!
Wewe ni mjinga tu! Ndo unaamini saizi Samia ni mwema lakini ndo kiongozi mchafu na mnafiki hujawahi ona!Magufuli sio nchi, bali alikuwa kiongozi muovu. Kupendwa na baadhi yenu haamaanishi alikuwa kiongozi msafi.
Kuichafua au kusema madhaifu yake, ukweli uliopo bila unafiki?Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa.
Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli.
Mungu atawaumbua wote waliomnanga Magufuli na watasema yote kwa ukamilifu!!
Acha kupanick dogo, magufuli alikuwa kiongozi muovu, hutaki jinyonge.Wewe ni mjinga tu! Ndo unaamini saizi Samia ni mwema lakini ndo kiongozi mchafu na mnafiki hujawahi ona!
Anauma na kupuliza na matendo mengi machafu ila kwa vile kaachiwa muishi mnavyotaka ndo maana unaona ni mwema wewe vyeti feki!
Umeongea kama ni mhanga wa vyeti fake..........najua huwezi kumpenda .........ila wacha ikuingie ndani kabisa maana wewe huna akiliKwani ni uongo? Magufuli hakuwa muuaji?
Unajua watu waliopigwa risasi Kwenye HIFADHI YA RUBONDO? Kule ilikuwa ni zaidi ya mauaji ya halaiki. Tena wengi vijana wadogo maskini. Wakabaki wajane na watoto wasio na baba zao.
Kumtetea magufuli unahitaji uwe mpumbavu wa mwisho.
Katesa vijana kwa kuwanyima ajira katika kipindi chake cha uongozi, yupo bize na madaraja( tutakula hayo madaraja?) Yeye mwenyewe hajawahi kujiajiri kang'ang'ana kwenye siasa zaidi ya miaka 20.
Katumbua watumishi. Wakaishia kuishi maisha ya tabu na dhiki.
Mwenye utimamu wa akili, magufuli alifaa kuwa mchunga ng'ombe huko maporini lakini sio kuongoza binadamu. Aisee.
Mungu aliliokoa Taifa kwa Baba yule. Na alivyomnafiki utasikia mniombee.
We' tukuombee uendelee kututesa.
Amekiri kuichafua nchi🙄😳Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa.
Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli.
Mungu atawaumbua wote waliomnanga Magufuli na watasema yote kwa ukamilifu!!
Jiwe hayupo, kwanini hawarudi?Jiwe alisababisha wakimbie nchi.... Lazima angemchafua TU.