G-Nako sijamuelewa ni muziki gani anafanya!

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,406
Reaction score
711
G nako na huu wimbo wake mpya sijamuelewa, ni aina gani ya Music??

Kwa hali hii siamini kama ataweza toboa, atabaki kuwa bora kwenye kushirikishwa tu..

=======

 
Abaki kushirikishwa tu huyu jamaa
 
G nako hajawai kua mkali kwenye solo song Hata siku moja... na katu hawezi kua mkali kwenye solo hata siku 1 toka yuko NAKO 2 NAKO alikua mtu waku chezeshwa chorus tu..... he is good in chorus but not good in his own feet..... so anacho takikana kukifanya niku tafuta sauti na styles tofauti tofauti ili apate collabos nyingi atakazo kua akilipwa.. full stop
 


Ahsante kwa ufafanuzi mzuri...
 
ana undugu na kr mullar
 
ili iweje kwa mfano kama hana uwezo wa kupika ngoma zake ziwe kali tusiseme
Mbona una jichanganya mzee.. kwani mm kwenye comment yangu ya mwanzo nime semaje??? Nime sema G hana uwezo huo waku pika solo songs zake na zikawa hot
 
Huu ni ukweli Mchungu kwake
 
Mh! Unamjua kweli!!
 
Vipi kuhusu mama yoyo?!
 
hahahha sasa ikawaje the industry wakaruhusu huo utumbo wa beat ....auwanaangaliapesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…