G-Nako sijamuelewa ni muziki gani anafanya!

George anafanya mziki usio wa kukaririka na sio mziki mwepesi kama wengi mnavyotarajia Mimi nampa BigUp sana kwa kuuchezea mziki kwa style tofauti.
 

Sky nae kaamua mpaka asali G kwa mgongo wa chupa.

kaandika maneno matamu na lugha mujarabu itakayokuvutia uweze isikiliza hii ngoma.. Ila kwangu BIG NO' Sijamuelewa G kwa hii ngoma...
 
noma ni Kali sema it take sometimes sababu muzik wa kibongo shabiki wanaangalia kinachotrend kwa wakati huu. Nyimbo kubwa amtafute phyno wa Nigeria kama anataka kuifanyia remix
 
Hip hop ina evolve, ilianzia Sedgwick Avenue, Bronx NY, ikavuka madaraja ya NYC, ikaenda West Coast mpaka sasa Down South wana set trends siwezi kushangaa muziki wa bongo uliotokea kwenye hip hop nao uki evolve.

Hyu mi namuona hana tofauti na watu wa Down South walivyoitafsiri Hip Hop kivyao.

Sanaa haiwezi kusimama pale pale, itachosha.

Inawezekana si kitu unachopenda, lakini si lazima upende wewe, ndiyo maana wengine wanasikiliza Rachmaninoff na wengine wanasikiliza N.W.A.
 
Ngoma nzuri sana, take time to listen it..am sure u gonna lv it
 
Sky nae kaamua mpaka asali G kwa mgongo wa chupa.

kaandika maneno matamu na lugha mujarabu itakayokuvutia uweze isikiliza hii ngoma.. Ila kwangu BIG NO' Sijamuelewa G kwa hii ngoma...

G nako ana keep it real and OG
 

Asante sana mkuu , ni wachache wanao elewa hivi na wengi wengi wetu tumekosa huu uelewa wa sanaa na ukuaji wake..
 
WABONGO WANAPENDA NYIMBO ZA KUCHEZACHEZA TU THATS WHY NA TABIA YA KUKARIRI FULANI HIVI .KWA MFANO MMEZOEA KUMSIKIA GNAKO KWENYE COLLABO NA WASANII WENGINE...HUH!!! KWANI AKIWA NA COLLABO KUTOA NYIMBO AS A SOLO ARTIST NDO IMEKATAZWAAA??? THEN KUNA HIKI KITU CHA USHABIKI WA KUNDI ET KWA KUWA GNAKO ANATOKA WEUSI NA MIMI NASHABIKIA TAMADUNI AU MICHARAZO BOB...NDO NGOMA YAKE NI.IDISS..... WAKUU HIP HOP KUNA BEEF NDIO LAKINI SUPPORT NA KUSIFIA KILICHO BORA NI MUHIMU.... SUPPORT KWA LOCAL ARTIST NI YA MUHIMU AS LONG AS TUNAJENGA NYUMBA MOJA TUGOMBANE YA NINI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…