I Isyaaa JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 274 Reaction score 62 May 29, 2014 #1 Habari wadau, nina ndugu yangu ana G.P.A ya 2.6,amemaliza diploma. Anataka kuendelea na degree, je inawezekana? Ushauri tafadhali.
Habari wadau, nina ndugu yangu ana G.P.A ya 2.6,amemaliza diploma. Anataka kuendelea na degree, je inawezekana? Ushauri tafadhali.
L luckyluke Member Joined Oct 14, 2012 Posts 47 Reaction score 36 May 29, 2014 #2 Isyaaa said: Habari wadau, nina ndugu yangu ana G.P.A ya 2.6,amemaliza diploma. Anataka kuendelea na degree, je inawezekana? Ushauri tafadhali. Click to expand... ingia kwenye web ya tcu bt mm najua nikwanzia gpa ya 2.7
Isyaaa said: Habari wadau, nina ndugu yangu ana G.P.A ya 2.6,amemaliza diploma. Anataka kuendelea na degree, je inawezekana? Ushauri tafadhali. Click to expand... ingia kwenye web ya tcu bt mm najua nikwanzia gpa ya 2.7
philola_jm Senior Member Joined Sep 21, 2013 Posts 143 Reaction score 20 May 29, 2014 #3 Vyuo vingi kuna pre course so ingia tcu uangalie vigezo vya vyuo mbalimbali.
I Isyaaa JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 274 Reaction score 62 May 29, 2014 Thread starter #4 Asanteni wakuu.