G20 Meeting in London

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...macho na masikio ya dunia nzima yanaelekezwa London...


...mnakumbuka "Changes: Successful Partnerships For Africa's Growth Challenge," conference, ilofanyika Dar es Salaam March 10-11? au mnakumbuka JK alivyobwabwaja tu? 😀 , haya...macho na masikio huko!
 

~Worrying~ times across the globe, kama superpowers wanahaha, sie washika makali itakuwaje? hata vijisenti tulivyokuwa tunatuma kwa ndugu zetu wapumulie kwa uduni wa pesa za madafu thamani yake imepungua na haitoshi hata huku ughaibuni...

...US unemployment rate surges to worst since 1983, Friday 6 March 2009 14.27 GMT Article history

Unemployment in the US surged to a 26-year high of 8.1% as struggling employers reacted to a deepening recession by slashing 651,000 jobs last month.

 
Hivi inakuwaje katika G-20,Umoja wa Ulaya (EU) Unahesabiwa kama Nchi,wakati members wake wengi wanaingia moja kwa moja kutokana na Nguvu zao kiuchumi?Kwa nini na African Union (AU) tusiingizwe humo ikizingatiwa kwamba tuna Mwanachama mmoja tu kwenye G-20. Wajuzi wa hili jambo ninaomba ufafanuzi...
 
19 Countries & EU

Mwawado: Are you serious? Yaani Ghadafi atuwakilishe ktk G20?

Angekuwa JK au Kufor ningeona ok! Ghadafi sioni kama anaweza kutuwakilisha!

Hivi G8 huwa Chair wa AU huwa traditionally anaalikwa na kuhudhuria..why not G8?
 

...swali zuri. Apart from South Africa, pia tutawakilishwa na Meles Zenawi chini ya kivuli cha NEPAD (New Partnership for Africa's Development), badala ya Muammar Gaddafi (AU, Current chairperson), sijui kwanini wame mu overlook, labda kwa sababu za ile Pan Am, Lockerbie 1988 (?)
 
19 Countries & EU

Mwawado: Are you serious? Yaani Ghadafi atuwakilishe ktk G20?

Angekuwa JK au Kufor ningeona ok! Ghadafi sioni kama anaweza kutuwakilisha!

Hivi G8 huwa Chair wa AU huwa traditionally anaalikwa na kuhudhuria..why not G8?

I think you are missing the point, at issue is not the person of the AU President going to represent us, but the office of the AU president.

I think this was ranked economically, and the bulk of the AU countries put together does not rank that high.It is essentially 19 largest economies plus the EU.

Why not include the AU if you can include the EU? He who has economic, military and political power makes the rule.they will tell you that the EU is an actual integrated economy with a single currency and monetary system and all, the AU is only aspiring to be so (part of the reason to dismantle the OAU and come with the AU was to mimick the EU, but this is a far cry)

So the AU is still largely a political entity, a fragmented one at that, while the EU is a true single economic entity. So you do not have the AU for the same reason you don't have ASEAN countries, or OPEC countries, this is supposed to be an economic talkshop, not a merely political one.

I think NEPAD has a more well defined economic objective than AU, even though I have a feeling it's inclusion is a mere PR move to appease any west bashing third world /African loving so called do gooders.
 
Last edited:

You nailed it. Appreciated
 
View attachment 4087

...wallahi, kumbe omba-omba Matonya ana kaaazi kweli kutembeza kile kibakuli na kushawishi wapita njia mpaka kijae...!

 
...Wachumi mnasemaje hapa? Nataraji wanamipango na wachumi wanategea masikio mkutano huu. Wakati huo huo, nasikilizia 'showdown' baina ya utawala wa Obama dhidi ya mikakati ya kupinga toka kundi la nchi za EU kuhusu mbinu muafaka za kufufua uchumi;





...I bet watakuwa melted na sweet tongue ya Barack Obama...
 


Obama arrives in London aboard Airforce I






President Barack Obama and first lady Michelle Obama are greeted by Charge D'affairs Richard LeBaron, and his wife Jean Foshee LeBaron, upon their arrival at Stansted Airport






The Obamas and the LeBarons disembark Marine One helicopter at Winfield House, the U.S. ambassador's residence in London





 


Mkuu Mwawado swali lako zuri.

Kwa uelewa wangu ni kwamba kutoka umoja wa Ulaya kuna nchi nne ambazo ni UK, German, Italy na France. Hizi nchi katika Ulaya ndio matajiri na GDP zao ni kubwa (90%)na ndio maana zinatenga kiasi fulani kutoka katika GDP na kutoa kama msaada kwa nchi maskini ikiwemo Tanzania.

Pia hizi G20 inajumuisha theluthi mbili ya population duniani.

Kuna nchi zingine ambazo zina topup idadi hio ya G20 na hizi zinaitwa G4 block ambazo ni China, India , Brazil na Afrika Kusini.

Kwa hio ni mpaka pale uchumi wa nchi zote za Afrika zitakapofikia ule wa Afrika Kusini ndio labda AU inaweza kufikiriwa kuingizwa katika G20 na kuweza kukaa meza moja na Barak Obama, Gordon Brown, rais Sarkozy na wengine.

Kwa sasa hatutambuliki kiasi cha kukaa meza moja nao kabisa kwa sababu huwa tunapewa misaada na hizi nchi zote.
 
Wakuu,

Swali: Je hawa mabwana, do they really have the interests
of the 'Third World Countries" at heart ama wanatuzuga tu?

Mara G8, mara G20....

Shukran.
 
Sasa wakuu,

Katika mkutano wa mawaziri wa fwedha wote wa G20 wameazimia kutumbukiza mamilioni ya fwedha (wanaita rescue package)katika mifumo yao ya kuichumi. Mkutano huo ulifanyika mjini London jana na ufuatao ni mchanganuo wa mamilioni hayo ya fwedha na wapi yanapekekwa.

Argentina

US$30bn stimulus
Timescale: 2009, but some public work to 2015
Focus on infrastructure and energy projects, tax breaks and consumer loans

Australia

A$52bn in two rescue package
Second package of A$42 is 2 per cent of GDP in 2009 and 1.3 per cent in 2010
Timescale: 2009/10
Focus on infrastructure investment and payments to low and middle income households
Additional tax breaks for small businesses

Brazil

Accelerating previously planned infrastructure spend
Increased spending in February on programme by 142.1bn Brazilian reais (US$61.2bn) totaling 646 billion Brazilian reais (US$278.4 billion) through 2010
Timescale: From 2007 - 2010

Canada

Can$40bn (US$31.9bn) including infrastructure investment, tax relief and promote bank financing
2.5 per cent of GDP (1.5 per cent in 2009, 1.1 per cent in 2010)
Timescale: Up to end 2010
Support for manufacturing, e.g. car industry

China

4tr yuan (US$580.6bn) stimulus package
13.3 per cent of 2008 GDP
Timescale: Up to end 2010
Focus on infrastructure and public spending

France

26bn euro (US$34.3bn) stimulus package announced
1.3 per cent of GDP
Timescale: mostly in 2009
Includes infrastructure spending, car industry and construction support

Germany

81bn euro (US$106.8bn) in two packages
3.25 per cent of GDP
Timescale: 2009/10
Focusing on infrastructure spending, tax incentives, measures to boost demand for cars and credit guarantees

India

US$4bn in two packages
0.4 per cent of GDP
Focus on reviving domestic demand, infrastructure and supporting export sector
Also cuts to some duties and service tax rates

Indonesia

73.3tr rupiah (US$6.4bn) stimulus package
1.3 per cent of GDP
Timescale: mostly in 2009
Focus on tax breaks and infrastructure spend

Italy

7bn euro (US$9.2bn) stimulus package
0.4 per cent of GDP
Timescale: all in 2009
Focus on tax breaks and financial incentives to buy certain goods

Japan

12tr yen (US$123.8bn) in three stimulus packages
2 per cent of GDP
Timescale: up to March 2010
Focus on payouts to individuals, job support and tax breaks for housing mortgages

Mexico

US$54bn one-year stimulus plan
1.8 per cent of GDP
Timescale: 2009 only
Including infrastructure spend, education and health benefits

Russia

US$61-62bn stimulus plan
5.2-5.4 per cent of GDP
Timescale: mostly in 2009
Mainly focused on tax cuts

Saudi Arabia

No official package, but Dec 2008 budget of SR475bn (US$126.7bn)included SR225bn on new projects and SR122 on education
The IMF say Saudi Arabia package has hit 2 per cent of GDP
Timescale: 2009
US$2.67bn interest-free credit (hii point ya muhimu sana)

South Africa

R787bn (US$80.8bn) infrastructure spending, part of existing long-running programme in preparation for football world cup
Timescale: three years to 2012

South Korea

51.3tr won (US$36.6bn) stimulus package
5.7 per cent of GDP
Timescale: up to and including 2012
Focus on tax breaks and investment to create jobs

Turkey

17bn lira (US$10bn) stimulus package
1.5 per cent of GDP
Timescale: mostly in 2009
Focus on tax breaks and infrastructure spend

United Kingdom

£20bn (US$28.4bn) stimulus package
Over 1 per cent of GDP
Timescale: 2009/10
Includes VAT cut and capital spending
Bank of England introduced quantitative easing, pumping £75bn into economy

United States

US$787bn stimulus plan
5.5 per cent of GDP
Timescale: 2009/10, but tax cuts spread over several years
US$507bn public spending; US$282bn tax relief

Source IMF

Sasa wakimaliza haya ya kwao ndio wataanza kufikiria ya sisi nchi maskini duniani ikiwemo Tanzania.

Halafu nina swali kwa wenzangu, je ni kwanini Turkey bado inakataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya ilhali nayo ni nchi iliopo ndani ya Ulaya? Turkey inashiriki katika michezo ya Ulaya kama kombe la mataifa ya Ualaya lakini si mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa tatizo ni nini?
 

When they talk of Globalisation, Africa is included wote. Whe you talk of World Economic Crisis measures, Africa is Exluded (only S.A present). Sasa tunadanganywa nini hapa. Inaniuma. Huku tunawapenda tuwawaita wawekezaji, kumbe ni wanyonyaji.
 
When they talk of Globalisation, Africa is included wote. Whe you talk of World Economic Crisis measures, Africa is Exluded (only S.A present). Sasa tunadanganywa nini hapa. Inaniuma. Huku tunawapenda tuwawaita wawekezaji, kumbe ni wanyonyaji.

Hapana mkuu,

Wanapozungumzia globalization wanamaanisha kukushirikisha wewe mtanzania kwa wewe kuwapa nguvu zako na rasilimali zako ili ziwasaidie wao kuendelea kuimarisha mihimili yao ya kiuchumi.

Ntakupa mfano mdogo tu, kuna mashine moja ya kusafisha "carpets" inaitwa Dyson. Mashine hii ilikuwa ikitengenezwa nchini Uingereza miaka hiooo! Lakini kwa sababu ya kodi kubwa na ukiritimba mwingine, mbunifu wa mashine hiyo bwana Dyson kwa kutumia nguvu za globalization akahamishia kiwanda chake huko mashariki ya mbali na sasa ni tajiri wa kutupwa. Sababu ni kwamba kule anatumia gharama ndogo za uendeshaji na kulipa ujira mdogo.

Huo ni mfano mdogo tu lakini kwa ujumla usitegemee kikubwa kutoka kwa hawa jamaa bali tutegemee akili zetu, hasa pale linapokuja suala la kuwakabidhi watu fulani katika jamii majukumu ya kutuongoza.
 
Last edited:

To add to what has been said, please be reminded that the G20 countries command over 80% of the world economy! The question that has been ignored, and is still being ignored by many poor countries in the past, present and God knows for how long in the future is, what to do to increase your share of that global trade and raise the living standards of your citizens. Going cap in hand is NOT the solution! Wake up pls! The sooner the better!
 

You have hit the NAIL!
 
President Obama's security bubble
By Max Deveson
BBC News, Washington

You can take the man out of the White House. But you can't take the White House away from the man.


And US President Barack Obama has arrived in London for the G20 summit with a large contingent of the White House staff with him.
Hundreds of security guards, doctors, chefs and others are accompanying President Obama on his visit, and the entourage includes a number of presidential vehicles - including his new armour-plated limousine, The Beast, and aeroplane, Air Force One.
The 4,000 sq ft Boeing 747 is fully equipped for the president to work while he is in the air. The exercise-loving president will even be able to use the onboard gym to keep fit inflight.
The plane is fitted with some robust security equipment including shields to protect its instruments from an electromagnetic pulse. The communications equipment is even capable of withstanding radiation from a nuclear attack.
Blood supply
After landing at Stansted Airport in Essex, Mr Obama was ferried into the heart of London on Marine One, his personal VH-3D helicopter.
Marine One is capable of firing flares to divert heat-seeking missiles - and always flies as part of a convoy of identical decoy aircraft. His helicopter peels away at the last minute only when the convoy has reached its destination. On the ground, the president rides around in The Beast, a brand new presidential limo finished earlier this year at a cost of $300,000 (£200,000).

OBAMA'S LONDON TRIP
<LI class=bull>Tuesday: Arrives in London <LI class=bull>Wednesday: Mr and Mrs Obama breakfast with the Browns at 10 Downing Street; Mr Obama holds talks with Gordon Brown; meets Russian and Chinese presidents, David Cameron, and the Queen <LI class=bull>Thursday: G20 summit; Mr Obama will also meet the Indian PM, the South Korean president and King Abdullah of Saudi Arabia during the day <LI class=bull>Friday: Departs for Strasbourg

It comes with a tear gas cannon, a night-vision camera and oxygen tanks. Its reinforced steel plating is said to be able to protect against bullets, chemical attack, and even a missile strike.
And it will not be hard to spot on the streets - it will be accompanied at all times by a motorcade consisting of dozens of support cars, police cars and emergency medical vehicles.
The president's White House medical unit - nurses, surgeons and other medical professionals - are permanently on call in case Mr Obama is taken ill. A supply of AB-type blood (the president's blood type) travels with him for emergency transfusions.
As well as medical personnel, Mr Obama's entourage consists of over 200 security officials, dozens of political aides and a team of personal chefs.
Mr Obama will also be cooked for at 10 Downing Street by celebrity chef Jamie Oliver - although Mr Oliver has been told that he will not be allowed to bring his mobile phone, even though his wife is due to give birth on the day after the event.
For security reasons, no mobile devices will be allowed at the dinner.
World leaders During his visit, Mr Obama will spend three hours in talks with the British Prime Minister, Gordon Brown.

G20 LONDON SUMMIT
<LI class=bull>World leaders will meet later this week in London to discuss measures to tackle the downturn. See to the G20 summit. <LI class=bull>The G20 members are Argentina, Australia, Brazil, Canada, China, France, Germany, India, Indonesia, Italy, Japan, Mexico, Russia, Saudi Arabia, South Africa, South Korea, Turkey, the United Kingdom, the US and the EU.


And - as is customary on presidential visits to the capital - Mr Obama will also meet the opposition leader, David Cameron, and will hold a private meeting with the Queen.
As well as the main G20 summit, the president will fit in bilateral meetings with a number of world leaders - including Russian President Dmitry Medvedev, Chinese President Hu Jintao, Indian Prime Minister Manmohan Singh, South Korean President Lee Myung-bak and King Abdullah of Saudi Arabia.
With the world economy in turmoil, and the US fighting wars on several fronts, these meetings will be crucial. So it is easy to see why Mr Obama needs such a large back-up team to keep his presidential bubble inflated while he focuses on doing his job.



Story from BBC NEWS:
BBC NEWS | Americas | President Obama's security bubble

Published: 2009/03/31 21:47:30 GMT

© BBC MMIX

Print Sponsor
 

Better said they will tell you......Theoratically EU seems to be like you have defined while practically they have some few steps to go to be so. All EU countries do not use a single currency. Atleast two if not mistaken countries have their own currency (UK and Denmark) and two are out of the union (Norway and Switzerland). Ninachoona ni wazungu kutuzidi uwezo katika kunegotiate issue zao na kutokana na huo ujuzi hata vya uwongo vinaonekana kweli any way Mungu saidia sisi tujitambue na tujitume kuwashinda kwa nguvu za hoja na si mabavu maana hata hayo mabavu hatuna.
 
When they talk of Globalisation, Africa is included wote. Whe you talk of World Economic Crisis measures, Africa is Exluded (only S.A present). Sasa tunadanganywa nini hapa. Inaniuma. Huku tunawapenda tuwawaita wawekezaji, kumbe ni wanyonyaji.

Bora umetambua hilo ila itapendeza ukienda one step what do you do to help the situation?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…