Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Natamani wahamie vyama vingine na wapewe. nafasi ya kugombeaKila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!?
Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku.
Jee G55 kundi lenu halina mtia nia wa ngazi ya Urais?
Na lazima Wana mgombea wao wa ngazi ya Urais!Natamani wahamie vyama vingine na wapewe. nafasi ya kugombea
😀😆😃😄Ya urais wamekuachia mkuu.
😀😆😃😄
Hizi harakati za hao watia nia wa Udiwani na Ubunge ni kafara tu.
Kususia maana yake haijui huyo. Lakini mbona hawasemi kama wana mtia nia wa Urais!?
😄😃😆😀Mgombea urais ni mtobi yule ataleta ushindani mkali sana kupitia genge lao
Mrema mgombea mwenza😄😃😆😀
Au yeye mwenyewe Mrema!?
Wanaomlaumu Lissu wasikilize hapa!
Ukiona mtoto wa mamba mjini ujue mama yake hayupo mbali🤣🤣🤣ila wameshafeli kabla yakuanza kama walishindwa uchaguzi wakiwa madarakani na wakiwa na pesa hakuna watachoweza kufanyaKila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!?
Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku.
Jee G55 kundi lenu halina mtia nia wa ngazi ya Urais?
No Reforms No Election!Muda tu wakwenda kupiga Kura haupo
Ajitokeze tumjue... Maana John Mrema kila akiongoea unaona kabisa kwamba watia nia wa udiwani, ubunge ni chambo tu, hoja yenyewe hasa ni Urais.Mgombea urais ndiye aliyewatuma,sasahivi anasikilizia vumbi tu,haelewi hata imekuaje