G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

ramli

hata kama waacheni
 
Jamaa Wanakwenda kupiga pesa na ubwabwa😀
 
Waandaliwe ubwabwa kwa kitoweo cha punda kama heshima kwao.
 
Huu ni mradi! Kuna tetesi watu wameahidiwa ubunge, kwa katiba ya Bongo nafasi za kugombea kisiasa ni lazima udhaminiwe na chama. Mpango huu ulikuwa umepangwa kabla ya Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Baada ya Lissu kushinda bila wao kutegemea Sasa wanatafuta chama Cha kuwadhamini ili wapate hizo nafasi walizohaidiwa.
Ushindi wa Lissu umewavuruga wengi sana hapa Tanzania, kuanzia ccm mpaka baadhi ya vyombo vya Dola.
 
Project ya serikali na ccm
 
Hawa ni makocho kweli.. so waliahirisha ili kupata attention yao zaidi kuliko Tundu Lissu siku ya kesho? Kweli wamehongwa hawa
 
Hawa matumizi yao kwa CCM ni wakiwa ndani ya Chadema tu ili kuendelea kukidumaza, nje ya Chadema hawana matumizi endelevu kwa CCM hivyo uwezekano wa kutimizwa kwa hiyo ahadi ya nusu mkate ni mdogo sana.
 
ubwabwa utakuwepo?
 
Mkutano kesho ukumbi wanautafuta leo, dah
Walioahidi kutoa pesa ni kama wanasita, na wakiona nyomi za cdm kwenye mikutano ya NRNE hawaoni mwelekeo kabisa. Kibaya zaidi PC ya leo ya Bon yai itakuwa imetibua mpango karibia wote.
 
CHAUMA KINAENDA KUIMARIKA NA KUWA CHAMA CHA UPINZANI.NI MPANGO WA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…