G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

wanatafuta nafasi za kugombea majimbo, kata. Watapata huko na wana wapiga kura wao watawachagua
 
Kwa nini tarehe 19 wakati Umma unanangoja kumwona Lissu Mahakamani?
Leo naona tukio la Chauma kupokea baadhi ya G55 litapewa coverage kubwa karibia na media zote ili kufunika tukio la Lissu!
 
CHAUMMA NI DISOGANISED, BAADA YA KUPOKEA WATU WENYE UZOEFU SASA KITASIMAMA WIMA NA IMARA.
 
Ila kwa hili wamedhihirisha wazi wao ni watafuta maslahi binafsi. Sometimes wangepaswa kuficha udhaifu wao ili waheshimiwe. Kwenye mazingira kama haya wataweza kushawishi kupata wanachama huko Chaumwa? Vinginevyo wanachama wa kununua kama inavyofanywa na chama Dola.
Hata hivyo Kuna uhakika wataendelea kupata support ya kifedha kupitia Dola?
 
Wajinga sana, wanafikiri wakishafika chama wataweza kuwashawishi wanachama wa CHADEMA wahamie huko.
 
Kama kweli G55 wamekwenda huko, watajuta.

Nguo ya kuazima itawagharimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…