Jamaa wana calculations kali, watapiga sana pesa ya mama na mwanaye.Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama.
Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja.
CHADEMA haiwezi kutekeleza agenda zake ikiwa itaendelea kuwakumbatia watu wa namna hii.
Vile vile ni hawa hawa G55 baada ya uchaguzi wamekuwa wakileta chokochoko za kukikwamisha chama.
Kama waliweza kuwafuta uanachama covid 19, hawa G55 wana nini cha ziada kwenye chama zaidi ya kukwamisha harakati za chama.
Hapa chini ni baadhi ya hoja zao;
Maua Mkuu 👉💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻💐💐🌻🌻🌻💐💐🌻💐💐🌻🌻🌻💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻CHADEMA haiwezi kutekeleza agenda zake ikiwa itaendelea kuwakumbatia watu wa namna hii.
Wajinga sana Hawa G55. Kwamba wao hawaoni kinachojiri nyakati za uchaguzi!?Sio kusimamishwa tu ni kuwafukuzia mbali wasaliti hao.Mungu kaamua kuwaonyesha mapema na ubinafsi wao,wanawaza uongozi bila kujali maisha ya watu yanapotea kisa uchaguzi wa hovyo.
Pesa za mama ziko nje nje
Unaweza Kuta hiki kikundi Cha wahuni kinaratibiwa na MakallaBado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama.
Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja.
CHADEMA haiwezi kutekeleza agenda zake ikiwa itaendelea kuwakumbatia watu wa namna hii.
Vile vile ni hawa hawa G55 baada ya uchaguzi wamekuwa wakileta chokochoko za kukikwamisha chama.
Kama waliweza kuwafuta uanachama covid 19, hawa G55 wana nini cha ziada kwenye chama zaidi ya kukwamisha harakati za chama.
Hapa chini ni baadhi ya hoja zao;
😅😅Unaweza Kuta hiki kikundi Cha wahuni kinaratibiwa na Makalla
Unawaacha, ukiwafukuza unawapa umaarufu, unawaacha wapige yowe mpaka sauti ikate, ukiwajibu unawapa kickBado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama.
Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja.
CHADEMA haiwezi kutekeleza agenda zake ikiwa itaendelea kuwakumbatia watu wa namna hii.
Vile vile ni hawa hawa G55 baada ya uchaguzi wamekuwa wakileta chokochoko za kukikwamisha chama.
Kama waliweza kuwafuta uanachama covid 19, hawa G55 wana nini cha ziada kwenye chama zaidi ya kukwamisha harakati za chama.
Hapa chini ni baadhi ya hoja zao;
Sahihi......wanafurukuta wee wanaangukia puaUnawaacha, ukiwafukuza unawapa umaarufu, unawaacha wapige yowe mpaka sauti ikate, ukiwajibu unawapa kick