Chama hakitakiwi kusubiria, wanatakiwa kufukuzwa haraka iwezekanavyo.Hao wametanguliza Matumbo mbele WAFUKUZWE MARAMOJA eti G55 Mburumundu kabisa kiwangocha GEJI..
Naunga mkono hoja chukua mzigo wako💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸🌸🌸🌸Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55.
Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima.
Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi ya kubomoa chama.
Habari za kuponyana majeraha hazina tena maana ni vyema kwenda na wale waliotayari kwa mabadiliko tu.
Hawa wote ni team Mbowe, fukuzeni wakatumie majukwaa ya vyama vingine, vyama vipo vingi.
Kabisa MkuuChama hakitakiwi kusubiria, wanatakiwa kufukuzwa haraka iwezekanavyo.
Kwa Tanzania hii , kuwafukuza hao haitasaidia kitu. Mwisho ya yote, ni kuingia tu kwenye uchaguzi. Kwa sasa, tunawadanganya tu kuwa, itawezekana kuzuia uchaguzi, bila mabadiliko. Misimamo mikali, HAITASAIDIA!Chama hakitakiwi kusubiria, wanatakiwa kufukuzwa haraka iwezekanavyo.
Hakika ni kutimua tuNa
shangaa kwann wanawachelewesha ,alifukuzwa zitokabwe Ambae alikuwa ni sawa na wabunge WAccm wote bungeni ,sembuse na Hawa
tayari imeshaanza kufunguka ,wengine hawakusaini wao hiyo petition yao(mwenyekiti mkoa wa tabkraMapito yaleyale ya NCCR Mageuzi na CUF wanapitia CHADEMA!
Tuliwaonya, mkakaza shingo!
Hawa wote hamna mwenye impact ya maana kwenye chama.Na
shangaa kwann wanawachelewesha ,alifukuzwa zitokabwe Ambae alikuwa ni sawa na wabunge WAccm wote bungeni ,sembuse na Hawa