G7 na C5 imefanyika Jumamosi pasipo Russia kualikwa

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Kuanzia May 19 - 21, 2023, vilifanyika vikao viwili vikubwa na muhimu. Mikutano hiyo ni ya G7 na C5.

Mkutano wa kwanza ulijadili usalama wa Ulaya na US, na wa pili ulijadili usalama wa Asia.

Urusi haikuwaalikwa katika mkutano wowote kati ya hiyo.

Nawatakieni katikati ya Wiki njema.
 
usalama wa ulaya bila russia, usalama wa asia bila russia , hawa mabepari watafariki pasipo ulazima
 
Back
Top Bottom