G7 to change to G8- Kenya to be added to the G7 to represent Africa ...Now G8 is loading.

Kama Saida Karori alivyoimba "wenye wivu wajinyonge"
 
Ni kweli Diamond Ali remix "Wenye wivu wajinyonge sana"
 
Will be a record! Imagine a hunger stricken G8 member by the name Kunyaland.
 
Kenyatta ni akili kubwa kwa hiyo anastahili kwenda kutuwakilisha
 
Wakenya bwana hamuishiwi vioja.. Ndo matokeo ya kuvuta mchanganyiko wa miraa na bange isiyotolewa mbegu
 
Haha shida wanapenda majina tu hata mkiitwa G1 haina shida ishu ni kwamba bado mna njaa na mnaishi kwenye mafulusuti
 
hata zimbabwe wakiamua wanaweza kujiita G1 na wakawa peke yao, ishu sio title ishu ni maendeleo ya inchi.
Btw G8 ipo kitambo labda sasa iwe G9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…