G7 Waahidi kutoa msaada zaidi huku Ukraine wakijiandaa kuanza mashambulizi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea.
G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine hadi ardhi ya watu irejeshwe....

=====================

G7 foreign ministers from the world's biggest democracies confirmed they will strengthen support for Ukraine in the wake of nuclear threats from Vladimir Putin.​

Western leaders are prepared for increasingly desperate moves from Vladimir Putin as Ukraine readies itself for a counter offensive against Russian troops. Express.co.uk understands leaders of the G7 countries - the world's biggest democracies - were ready for the Russian dictator to suggest he may use nuclear warfare and expect him to try to threaten other extreme tactics.

It comes as the foreign ministers, including Britain's Foreign Secretary James Cleverly, collectively condemned Putin's bellicose language on nuclear weapons at the G7 summit in Karuizawa in Japan.
The suggestion by Putin that he will move tactical nuclear weapons into neighbouring Belarus with the threat of an expected Ukraine counter offensive has united G7 nations to double down on support for Ukraine not step back.

British officials at the summit made it clear they are expecting Russia to respond to a Ukrainian counter-offensive and “must be prepared” for extreme tactics.
 
Pro-NATO bhana,
Yaan Mnanifurahisha mnavojitekenya na kucheka wenyewe[emoji1]

Vipi zile Abraham tanks,game changer

Mlisema mwezi March,
sahv tuko April, Kimya Sana,
Zimeshafyeka wangapi mpk sasa[emoji38]View attachment 2592744

Zote hizo zinakuja kuwatafuna vichwa, ni maandalizi yamefanywa muda mrefu, endeleeni kusubiri....
 
Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea.
G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine hadi ardhi ya watu irejeshwe....

=====================

G7 foreign ministers from the world's biggest democracies confirmed they will strengthen support for Ukraine in the wake of nuclear threats from Vladimir Putin.​

Western leaders are prepared for increasingly desperate moves from Vladimir Putin as Ukraine readies itself for a counter offensive against Russian troops. Express.co.uk understands leaders of the G7 countries - the world's biggest democracies - were ready for the Russian dictator to suggest he may use nuclear warfare and expect him to try to threaten other extreme tactics.

It comes as the foreign ministers, including Britain's Foreign Secretary James Cleverly, collectively condemned Putin's bellicose language on nuclear weapons at the G7 summit in Karuizawa in Japan.
The suggestion by Putin that he will move tactical nuclear weapons into neighbouring Belarus with the threat of an expected Ukraine counter offensive has united G7 nations to double down on support for Ukraine not step back.

British officials at the summit made it clear they are expecting Russia to respond to a Ukrainian counter-offensive and “must be prepared” for extreme tactics.
Unajua wewe mshikaji akili inawezekana ikawa ndogo sana naomba usiulize kwanini?
 
Sina haja ya kuuliza kwanini maana nawasubiri mlete povu mlioshikiliwa akili kwenye yale madude yenu...heheheh takbirr
Pendelea zaidi kusikiliza kuliko kusikilizwa.

Kuna vitu haviendani na umri wako ingawa siujui na sitaki kujua.

Halafu tusichoshane,,,,kama mambo udaku tujue,

Hujui ya kuwa toka 2014 wanatoa mafunzo Uikraine?
 
Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea.
G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine hadi ardhi ya watu irejeshwe....
kubwa jinga unaongea kama umekunywa maji ya chooni,,,, unasema mrusi kashindwa kufumua kamji kadogo bakhmut wakati huo huo unasema G7 watasimama na Ukraine mpaka warudishe ardhi,, sasa mrusi ikiwa kakwama hiyo ardhi anayosema airudishe angeipata vipi?? Kubwa jinga unapoelekea utakuwa mwehu punguza mahaba!!
 
Kama siyo propanda za kijeshi,unachosema ni kweli! Lakini ungesoma vizuri taarifa za Pentagoni zilizo leak kuhusu vita vya Russia na Ukraine harafu uoanishe na hao G7 walichosema.
 
Pro-NATO bhana,
Yaan Mnanifurahisha mnavojitekenya na kucheka wenyewe[emoji1]

Vipi zile Abraham tanks,game changer

Mlisema mwezi March,
sahv tuko April, Kimya Sana,
Zimeshafyeka wangapi mpk sasa[emoji38]
Jiulize kwanza Kilicho mkwamisha mshamba puti hadi sasa kuichukua Bakhmut ni nini??
Halafu!; Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi aminwa alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seeking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao kutusaidia!; amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuuza silaha zake [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za kuvamiwa tena hata na vibaka usiku![emoji56][emoji15][emoji12]
 
Pendelea zaidi kusikiliza kuliko kusikilizwa.

Kuna vitu haviendani na umri wako ingawa siujui na sitaki kujua.

Halafu tusichoshane,,,,kama mambo udaku tujue,

Hujui ya kuwa toka 2014 wanatoa mafunzo Uikraine?

Huna hadhi ya mimi kukuskliza hususan mlioshikiliwa akili bila kuwa na uwezo wa kujiongeza.
 
Nimesoma kilicho leak na kukielewa vizuri sana na ndio kimetupea mwangaza Mrusi anakwenda kupokea kichapo.
Fuatilia matamshi ya hivi karibuni ya Waziri wa Ulinzi wa UK utakuja hapa kutuambia!
 
Huna hadhi ya mimi kukuskliza hususan mlioshikiliwa akili bila kuwa na uwezo wa kujiongeza.
Najiongeza na lipi ?

Kabla hawajapeleka siraha mkoa moja ulishachukuliwa(Crimea) ,,walipopeleka siraha mikoa minne imechukuliwa.

Ninachokushaangaa Mimi toka 2014 wanatoa mafunzo na wameshindwa,inakuwaje Leo waweze?
 
Pro-NATO bhana,
Yaan Mnanifurahisha mnavojitekenya na kucheka wenyewe[emoji1]

Vipi zile Abraham tanks,game changer

Mlisema mwezi March,
sahv tuko April, Kimya Sana,
Zimeshafyeka wangapi mpk sasa[emoji38]

hata counteroffensive ya kherson walisemaga hiv hiv. matokeo yake ndani ya mwez kharkiv na kherson chali. watu walikimbia kama nyumbu. wanavuka mto mara.

ukraine wanakuambia kabisa siku flani tutakupiga na utakimbia na tutatumia silaha za Himars jiandaeni na hio siku ikifika wanakupiga kweli. na unakimbia kweli
akili Kubwa hizi.
 
Najiongeza na lipi ?

Kabla hawajapeleka siraha mkoa moja ulishachukuliwa(Crimea) ,,walipopeleka siraha mikoa minne imechukuliwa.

Ninachokushaangaa Mimi toka 2014 wanatoa mafunzo na wameshindwa,inakuwaje Leo waweze?

Mlijitutumua kuchukua nchi ya watu na kuangukia pua, leo kamji ka Bakmut kamesababisha muishiwe kabisa, subiri kichapo kinakuja.
Urusi kwa sasa hana lolote hata Waarabu wamemtelekeza, ameachiwa nyie waarabu wa Bongo.
 
Jiulize kwanza Kilicho mkwamisha mshamba puti hadi sasa kuichukua Bakhmut ni nini??
Halafu!; Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi aminwa alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seeking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na wao kutusaidia!; amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuuza silaha zake [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za kuvamiwa tena hata na vibaka usiku![emoji56][emoji15][emoji12]
Ile iliwekwa Kim kimkakati iwe meat grinder ya jeshi la zerozensky na ndicho kilichotokea.
 
Hivi hukuona vp alikuwa amefanya ziara na mkuu wa jeshi akasema rais atangaze kuwa vita imekwisha
 
hata counteroffensive ya kherson walisemaga hiv hiv. matokeo yake ndani ya mwez kharkiv na kherson chali. watu walikimbia kama nyumbu. wanavuka mto mara.

ukraine wanakuambia kabisa siku flani tutakupiga na utakimbia na tutatumia silaha za Himars jiandaeni na hio siku ikifika wanakupiga kweli. na unakimbia kweli
akili Kubwa hizi.
Safi sana mkuuu , wanaanza kukimbia kabla ya vita .
 
Back
Top Bottom