Gabon: Marufuku Maafisa wa Serikali Kusafiri nje ya Nchi kwa ajili ya Likizo

Gabon: Marufuku Maafisa wa Serikali Kusafiri nje ya Nchi kwa ajili ya Likizo

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa maafisa hao wa serikali
1724236311691.jpeg

Msemaji wa Serikali ya Mpito alifafanua kuwa maamuzi haya yanalenga kuhamasisha viongozi kuwa karibu na wananchi huku akikisitiza kuwa ruhusa maalumu zitatolewa kwa sababu za kiafya kusafiri nje ya nchi

Aidha maamuzi haya yanadaiwa kufanyika na Rais huyo kama maandalizi ya kugombea Urais katika Uchaguzi ujao wa mwaka 2025

Pia soma Jenerali Oligui kuwa Rais wa Mpito Gabon

================For English Audience============

No foreign holidays for Gabon government officials​

Gabon's interim president who seized power in a coup a year ago has barred members of his transitional government from holidaying abroad.

Gen Oligui Nguema has also limited government officials to a maximum of one week of holiday leave.
These new restrictions were announced on state television, after he toured the country to listen to people's concerns.

There is speculation that Gen Nguema may be softening the ground to run for president in next year's election - the first since he seized power in the Central African state.

SOURCE: BBC
 
Mimi ni naniiii? Namuuliza adriz mimi ni naniiii? Who em ai? Could someone tell me who em I? Aaaadrriiiizzzzz adriiiizzz
 
Back
Top Bottom