Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa kimataifa wa mbio ndefu (marathon) Gerald Gabriel Geay ameanzisha kampuni ya utalii inayoitwa Geay Safaris and Tours ambapo makao makuu yake yapo huko Arusha, Tanzania.
Geay ni mwanariadha mwenye mafanikio na mwenye udhamini wa kampuni ya adidas, pia amejichukulia umaarufu Kwa kuwa na rekodi ya Taifa kwa muda wa 2:03:00 kwenye mbio za kilomita 42.195 pamoja na kushinda mbio mbalimbali duniani.