Gabriel Gerald Geay aanzisha kampuni ya Utalii

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414


Mwanariadha wa kimataifa wa mbio ndefu (marathon) Gerald Gabriel Geay ameanzisha kampuni ya utalii inayoitwa Geay Safaris and Tours ambapo makao makuu yake yapo huko Arusha, Tanzania.

Geay ni mwanariadha mwenye mafanikio na mwenye udhamini wa kampuni ya adidas, pia amejichukulia umaarufu Kwa kuwa na rekodi ya Taifa kwa muda wa 2:03:00 kwenye mbio za kilomita 42.195 pamoja na kushinda mbio mbalimbali duniani.
 

Attachments

  • IMG_9322.jpeg
    408.6 KB · Views: 8
Ikawe heri kwake
Katika uwekezaji wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…