Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza Sydney Marathon huko Australia

Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza Sydney Marathon huko Australia

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
IMG_3766.jpeg

Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza baada ya kupata changamoto ya kiafya kuanzia kilomita 30 na alipofika kilomita 35 akashindwa kuendelea na kapumzika.

Walichoandika World Athletics (WA);

After a half way split of 1:03:56, they passed 30km together in 1:30:58 but Geay could not maintain the pace and he dropped to third by 35km – with El Goumri ahead in 1:46:11 and Kipngetich overtaking Geay to pass that point in 1:46:28 to Geay’s 1:46:58.


Geay dropped out from the race after that point, with El Goumri forging ahead to win in 2:08:20 and Kipngetich claiming second place in 2:08:43.
 
Ulikuwa na sababu gani za kusema hatamaliza?
Dalili zipi zilikuonyesha?
Au ulitabiri tu?
Ni maoni mkuu yanapaswa kuheshimiwa. Watz wengi wanapenda kujimaliza wenyewe na me nimfuatiliaji mno wa haya mashindano.

Kenya huez sikia skendo za namna hii marakwamara,.

Watu watamtetea Kwa Kusema ni appearance na posho yake ipo, lkn. Hawataki Kusema ukweli.
 
Ukweli , Tanzania Maandalizi ya Wanariadha Wetu ni Hafifu! Tunasubiri matokeo makubwa kwanza kabla ya kuwekeza!


Tuliomba Waziri, aanze na TOC sababu wameshindwa kutengeneza kambi ya wanariadha na kuibua vipaji, Filbert Bayi ameweka kwapani kwake.
 
Kenenisa ulisemaje kumhusu gaey.
Ulibashiri vyema kabisa. Beti yako imetiki kwa Geay.

Nilitumaini jamaa ataperfom kutokana na form yake hivi karibuni .
Kumbuka alimaliza nafasi ya pili kwenye Boston mwaka huu akimburuza vya kutosha GOAT wa marathon, Eliud Kipchoge.
Lakini pia alimaliza wa pili Valencia marathon kwenye Valencia marathon akiandikisha 8th fastest marathoner in history duniani.

All in all, tusubiri atarespond vp kutokana na kipigo alichopata.
 
Hii ni dalili tosha wanariadha wetu walikosa maandalizi ya kutosha. Nani wa kuwajibika katika hili? Au ndiyo kusema business as usual!!!
 
Back
Top Bottom