Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Ulikuwa na sababu gani za kusema hatamaliza?Kuna Uzi nilisema huyu nae atashindwa kumaliza . Mdau mmoja akasema nisizungumze nisivovijua haya sasa mwalimu hapa ni wapi .
Kama upo basi poaNi Kweli ameshindwa kwa Leo, ila mpunga atakaouchota kwa Appearance ni mkubwa( hidden agenda)
Sasa si jina la babu yake?View attachment 2752151kwanini asiandike hapo Geay badala ya Gabriel
Ni maoni mkuu yanapaswa kuheshimiwa. Watz wengi wanapenda kujimaliza wenyewe na me nimfuatiliaji mno wa haya mashindano.Ulikuwa na sababu gani za kusema hatamaliza?
Dalili zipi zilikuonyesha?
Au ulitabiri tu?
Ulibashiri vyema kabisa. Beti yako imetiki kwa Geay.Kenenisa ulisemaje kumhusu gaey.
Acha kutuokota wewe atapewa Hela ndogo ya ushiriki ambayo hata hailingani na gharama alizotumia huko. IlaNi Kweli ameshindwa kwa Leo, ila mpunga atakaouchota kwa Appearance ni mkubwa( hidden agenda)
🤣🤣🤣🤣 fanya mazoezi kila sikuIla mbio zisikieni Kuna siku nimejijaza upepo kuzunguka uwanja wa shule mara kumi....hahaha raundi ya tano tu nlikuwa hoi hata kumeza mate nashindwa.
RT na TOC ndo watu sahihi wakuwajibika…!Hii ni dalili tosha wanariadha wetu walikosa maandalizi ya kutosha. Nani wa kuwajibika katika hili? Au ndiyo kusema business as usual!!!