Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wetu, wa kimataifa wa riadha tanzania , Gabriel Gerald Geay anatarajia kushiriki mashhindano ya Sydney - Marathon , inayotarajiwa kufanyika tarehe 17 Septemba, 2023.
Anaenda kushiriki na wanariadha wengine wenye muda bora.
Geay, ni mwanariadha wa 9 bora duniani kwa muda wake wa saa mbili na dakika tatu (2:03:00) kwa mbio za kilomita arobaini na mbili (42K).
Kila la heri kwake.