Gabriel Gerald Geay Kushiriki mbio za Sydney Marathon

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414

Mwanariadha wetu, wa kimataifa wa riadha tanzania , Gabriel Gerald Geay anatarajia kushiriki mashhindano ya Sydney - Marathon , inayotarajiwa kufanyika tarehe 17 Septemba, 2023.

Anaenda kushiriki na wanariadha wengine wenye muda bora.

Geay, ni mwanariadha wa 9 bora duniani kwa muda wake wa saa mbili na dakika tatu (2:03:00) kwa mbio za kilomita arobaini na mbili (42K).
Kila la heri kwake.

 
Write your reply...huyu mwamba hayupo budapest hungary? Kuna nn
Hakushiriki, anaenda Australia 17 /09, hivyo hawezi kushiriki marathon mbili kwa mwezi mmoja. Pili, huko kampuni yake imemuahidi pesa ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…